top of page

Pokeeni

Pokeeni (pokeeni) Roho Mtakatifu atakaye

wajia juu yenu muwe mashahidi wangu sio

tu wa Yerusalemu bali kwa mataifa yote


Akiisha kusema hayo, walipokuwa

wakitazama akainuliwa wingu

likampokea kutoka machoni pao


Mara walipokuwa wakitazama

wakaja watu wawili wakawaambia

alivyochukuliwa kwenda mbinguni vivyo

atakuja kutoka mbinguni


Kisha wakarudi kwenda Yerusalemu,

kutoka mlima uitwao Mizeituni

wakaingia ghorofani

wakimngoja Roho Mtakatifu


Hata ilipotimiasiku ya Pentekoste,

walikuwapo wote mahali pamoja

Wakajazwa na Roho Mtakatifu,

wakaanza kulihubiri neno

2 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page