top of page

Pokea Baba

Pokea Baba Sadaka zetu twakutolea kwa moyo safi (Tunakutolea Baba (Baba) uzipokee) x 2

  1. Mkate wetu ee Bwana, tunakutolea, ni mazao ya mashamba,Bwana upokee.

2. Divai yetu ee Bwana, tunakutolea, ni mazao ya mashamba, Bwana upokee.

3. Na fedha zetu ee Bwana, tunakutolea, ni bidii yetu Baba, Bwana upokee.

4. Na sala zetu ee Bwana, tunakutolea, ni shukurani zetu Baba, Bwana upokee

3 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page