top of page

Pendo Lako Yesu Limenivutia

Pendo lako Yesu limenivutia niwe wako milele pendo lako yesu limenivutia niwe wako milele

1. Yesu wangu mpenzi wa moyo pendo lako nitamu, la nivuta niwe wako katika taifa lako

2. Katika maisha yote nikutafute wewe, kwa sababu ya mapendo uliyonionyesha.

3. Yesu Mkombozi wa watu kutoka kwa Baba, ndiwe nuru ndiwe mwanga kwetu wanadamu

4. Utukufu wako sawa na ule wa Baba, wa milele na daima udumu milele

5. Ndiwe wa kwanza wa Baba ni Mwanae mpenzi, ni Mungu ni Masiya nafsi ya pili

6. Mungu muumba wa watu utukufu ni wako, na mwanzo utumwani atatuokoa.

81 views0 comments

תגובות

דירוג של 0 מתוך 5 כוכבים
אין עדיין דירוגים

הוספת דירוג
bottom of page