top of page

Pazeni Sauti

Unastahili sifa zote Yesu ulimshinda mwovu shetani x2

(Watu wote na viumbe vyote Kristu – vinatambua upendo wako x2


Pazeni sauti hizo zenu, tumwimbie Bwana wa mabwana. Utukufu ni wako Yesu, hoye hoye Mfalme wa wafalme x2


Jua na mwezi vina kusujudu jinsi ulivyo mwenye uwezo x2

(Ulimshinda yule ibilisi – ukatuweka huru kabisa x2


Siku zote popote na kwa wote– wana wetu Yesu ni mshindi x2

(kwake Mwokozi wote wanaalikwa– wajisikie pia washindi x2


Kristu Mwokozi jiwe la ushindi –utasimama imara kwake x2

(Naukumbuke haina kifani – wote ni bure bila Mwokozi x2


Kwa msalaba wake Bwana Yesu- tulipokea wokovu wetu x2

(Ndiyo alama ya wote wakristu– wale wakale hata wa leo x2

0 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page