top of page

Pasipo Makosa

  1. Pasipo makosa Mkombozi wetu, Katika baraza la wakosefu Na wote walia asulibiwe, Aachwe Baraba na Yesu afe Aachwe Baraba na Yesu afe

  2. Ee Yesu washika msalaba wako, Na unakubali kufa juu yake Ee Yesu useme sababu gani, Ya nini mateso makali hayo? Ya nini mateso makali hayo?

  3. "Ni pendo kwa Baba wa uwinguni, Ni huruma yangu kwa wakosefu. Ewe mkristu kumbuka mateso yangu, Uache makosa, uache dhambi Uache makosa, uache dhambi"

5 views0 comments

コメント

5つ星のうち0と評価されています。
まだ評価がありません

評価を追加
bottom of page