top of page

Panda Milimani

Panda milimani x2 Shuka mabondeni x2 Shikeni neno, neno la Bwana.

  1. Neno kwa wagonjwa, neno kwa wafungwa, neno kwa wakristu, shikeni neno, neno la Bwana

  2. Neno kwa viwete, neno kwa vipofu, neno kwa viziwi, shikeni neno, neno la Bwana

  3. Neno kwa watawa, neno kwa walevi, neno kwa maskini, shikeni neno, neo la Bwana

4 views0 comments

Commenti

Valutazione 0 stelle su 5.
Non ci sono ancora valutazioni

Aggiungi una valutazione
bottom of page