top of page

Pamoja na Malaika


  1. Pamoja na malaika, Mariamu mama yetu Kuimba sifazo twataka, zipende nyimbo zetu Maria ee zipokee hizo zako heshima Twakuimba, twakuomba, utwelekee, Mama

  2. Mazuri ya ulimwengu, si kitu mbele zako Hata nyota za uwingu, zavia mbele yako

  3. Bikira uso mfano, sifazo kuzitaja Sitoshi haba maneno, kubwa yako daraja OR


  1. Pamoja na malaika, Maria mama yetu Kuimba sifazo twataka, zipende nyimbo zetu Ee Maria zipokee hizo zako heshima Twakuimba, twakuomba, utwelekee, Mama

  2. Mazuri ya ulimwengu, si kitu mbele zako Hata nyota za uwingu, zavia mbele yako

  3. Bikira usiye mfano, sifazo kuzitaja Sitoshi haba maneno, kubwa yako daraja

  4. Uliyejaa neema, na mwingi wa huruma Duniani tukikwama, watuopoa mama

2 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page