top of page

Palikuwa na Kijana Mmoja

Palikuwa na kijana mmoja jina lake Samweli, Alikuwa akimcha Mungu tangu utoto wake Alisikia sauti Ikimwita, Samweli, Samweli x2


Alikuwa 'kiitwa na Mungu, lakini hakujua, alikimbilia kwake Eli, Eli hakuelewa


Aliitwa naye Mungu tena, wala hakufahamu, Eli 'kashangaa akasema: Mimi sikukuita


Alipoitwa mara ya tatu, Samweli akajibu: Nena, Bwana, mtumishi wako anatega sikio.


Mungu akawa pamoja naye, na Israeli nzima ikafahamu kuwa Samweli ndiye nabii wake

1 view0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page