top of page

Ona Mnavyopendeza

Ona mnavyopendeza, ona mnavyopendeza x2 Mashemasi

(Makasisi, Maharusi) mtabasamu mwende mkang’ae milele x2


Katika maisha yenyu mkatende kazi ya Bwana mkalichunge kundi lake mkalifikishe Mbinguni


Mkawakusanye wote Waliotawanyika Na wote waliopotea mkawarudishe kwa Baba


Na mkalinde vyema Kundi mlilokusanya Kundi mliokusanya Ili wawe kundi moja


Maria Bikira mwema Wawalinde daima Muovu asiwaguze Hatari zote ziepe.

1 view0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page