top of page

Nyota ya Matumaini


  1. Mama yetu maria, ni mama wa neema, tena ni kimbilio la watu wote wakosefu, ni msaada wa kweli mama tuombee.

  2. Ni nyota, ni nyota, mama yetu maria ni nyota ya matumaini x2

  3. Mlango wa mbingu, sanduku la agano, malkia wa amani, malkia mwenye huruma, mama mpendelevu mama tuombee

  4. Nyota ya asubuhi, ni mnara wa pembe, kimbilio la wakosefu mama tuombee, mama yetu maria kiongozi wetu.

  5. Twakushukuru mama, kwa maombezi yako, na kwa neema zote unazo tuombea mama, malkia wa amani mama tuombee.


294 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page