top of page

Nyota ya Mashariki

Nyota ya mashariki ya waongozoa mamajusi, ikatuwa juu kwenye hori la kulia ngombe,


Amezawa Mwokozi Yesu, Yule aliyetabiriwa zamani na nabii Isaya nasi twamshangilia leo


Malaika wametumwa, wawajulisha hao wachungaji habari ya kupendeza, ya kuzawa kwake Yesu


Tazama ewe Yusufu muhamisheni huyu motto Yesu, Herode ataka kumuua huyo Mwana.

0 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page