top of page

Nyota ya Bahari


  1. Bara na bahari furahini sana- Tumemulikwa na nuru ya Mbinguni, bara na bahari furahini sana- Tumemulikwa na nuru ya Mbinguni

  2. Pendo lako mama, limetuvutia- Tunatangaza sifa zako kwa nyimbo bara shangilia, bahari ivume -Tumsifu mama, mama wa Maulana

  3. Piga tarumbeta, pigeni mluzi- Imbeni wimbo wa mama wa Mulungu chezeni pamoja, ruka juu juu- Mama wa Yesu afurahi Mbinguni

  4. Mama wa Mwokozi, Malkia wa Mbingu- Mwanga anamu somo wa kwaya yetu, uliyekingiwa dhambi ya asili- Daraja letu tuendao Mbinguni

  5. Nyota za angani zamulika nch- Mama Maria anamulika nyoyo, usiku mchana anatuangaza- Tunatembea na nuru siku zote


2 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page