top of page

Njoo kwetu Masiya

Njoo kwetu, Masiya, (njoo), njoo Bwana, utuokoe x2.

  1. Utuhurumie sisi wadhambi, tunakulilia, tusikilize.

  2. Nguvu za shetani zimetubana, njia ya uwingu haipitiki.

  3. Utufungulie mlango wa mbingu, na kuyatakasa maouvu yote.

  4. Nazo dhambi zetu zimetusonga, kamba za mauti zatuzunguka

  5. Ee Yesu Masiya, mwenye huruma, njoo hima Bwana, utuokoe

1 view0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page