top of page

Njoni Wapenzi

Njoni wapenzi tufanye shangwe, Mwokozi Bwana, amefufuka

Viumbe vyote tufanye shangwe, Mwokozi Bwana, amefufuka

Natufanye shangwe twimbe aleluya, Mwokozi Bwana amefufuka. X2


Leo mapema amefufuka-

Kaburi lake ameliacha-


Walinzi wake walishituka

Wakawa kama wamezimia-


Kwa ufufuko wako ee Bwana.

Umeturudishia upendo-


Umewashinda adui zetu-

Mauti ni kali pia shetani-


Enzi ni yako ya umilele-

Shukrani sifa na utukufu-


Hii ndiyo siku iliyofanywa-

Na Mungu nayo ni ya furaha-

1 view0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page