top of page

Njoni Mezani

Wapenzi wa Bwana njoni mezani kwa chakula. Bwana anatuita (Njoni mezani pake x 2) kwa chakula cha roho x 2.

  1. Aulaye mwili na kuinywa damu yake Bwana Yesu, atapata uzima wa milele.

  2. Hiki ni chakula, chakula kwa wote wanyofu wa moyo, karibuni nyote mezani pake.

  3. Onjeni muone utamu ‘toka huko juu mbinguni, onjeni muone chakula hiki.

0 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page