top of page

Njoni Kwa Shangwe

1. Njoni kwa shangwe tumwabudu Bwana… Njoni kwa shangwe tumwabudu Tulitangaze jina lake kuu … Njoni kwa shangwe tumwabudu

Bass: Tumwabudu, tumwabudu shangwe tumwabudu

Wote: Njoni kwa shangwe x3, tumwabudu

2. Yeye ni Bwana wa mabwana wote / Yeye ni Mfalme wa wafalme wote…

3. Tumsifu Bwana natumsujudie / Tumshangilie Mfalme wa amani…

4. Wajibu wetu ni kumtumikia / Tulitangaze neno lake kuu…


1 view0 comments

Comentários

Avaliado com 0 de 5 estrelas.
Ainda sem avaliações

Adicione uma avaliação
bottom of page