top of page

Niwe Baraka

Naomba niwe baraka Kwa wengine (Mungu)

Naomba niwe daraja kwa wote (Nisiwe sababu ya wengine kuumia (tena) nisiwe sababu ya wengine kuteseka hio ndio sala yangu) × 2


  1. Nisikike kirahisi watu wasiniogope ndipo watakapo weza kueleza shinda zao

  2. Nisiwe na kiburi, kiburi cha uzima nijue vyema dhamani ya utu wa mwanadamu

  3. Kwa kuwa kwa hakika katika kubariki ndipo twabarikiwa baraka maradufu

43 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page