top of page

Nitayainua Macho Yangu

Nitayainua macho yangu, niitazame milima, msaada wangu utatoka wapi, u katika Bwana wangu x 2

1. Msaada wangu uu katika Bwana / aliyezifanya mbingu na nch (i yoo mimi).

2. Asiache mguu wako usongezwe / asinziaye akulindaye (i yoo mimi)

3. Naam hatasinzia wala hatalala usingizi / yeye aliye mlinzi wa Israeli (i yoo mimi)

4. Bwana ndiye mlinzi wako / Bwana ni uvuli wa mkono wako wa kuume (i yoo mimi).

0 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page