top of page

Nitatangaza Neno Lake Bwana

1. Nitatangaza neno lake Bwana, kwa mataifa mbali mbali oo x2

Wajaluo, waimbee wamsifu Bwana, wataita waimbee wamsifu Bwana, wamaasai waimbee wamsifu Bwana, wakikuyu waimbee wamsifu Bwana.


2. Nitatangaza neno lake Bwana, kwa mataifa mbali mbali oo x2

Na mapadri, waimbee wamsifu Bwana, na masista waimbee wamsifu Bwana, waimbaji tuimbee tumsifu Bwana, watu wote, waimbee wamasifu Bwana.

8 views0 comments

Comentários

Avaliado com 0 de 5 estrelas.
Ainda sem avaliações

Adicione uma avaliação
bottom of page