top of page

Nitamsifu Mungu


Nitamsifu Mungu wa mbinguni aliyeniumba Ananipenda tena anilinda kati ya mabaya x2


  1. Alinipenda kuliko vyote akaniumba kwa mfano wake uhai wangu najivunia kwani najua anipenda

  2. Viungo vyote vya mwili wangu vyamtukuza vyamuabudu – Najitolea maisha yangu kufanya kazi yake Bwana

  3. Ninakuomba unipe nguvu yakukusifu na kukupenda siku kwa siku nikutukuze –Kwani wewe ni Mungu wangu

65 views0 comments

댓글

별점 5점 중 0점을 주었습니다.
등록된 평점 없음

평점 추가
bottom of page