top of page

Nitamhimidi Bwana

Nitamhimidi Bwana, kila wakati sifa zake zi kinywani mwangu x2 (Katika Bwana) nafsi yangu, itajisifu kwa unyenyekevu wasikie wafurahi; mtukuzeni Bwana pamoja nami, tuliadhimishe jina lake pamoja x2

  1. Nalimtafuta Bwana akanijibu, akaniponya na hofu zangu zote

  2. Wakamwelekea wakati wa nuru, wala nyuso zao hazitaona haya

  3. Maskini ali-ita Bwana akasikia, akamuokoa na taabu zake zote

10 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page