top of page

Nitamhimidi Bwana

Nitamhimidi Bwana, kila wakati sifa zake zi kinywani mwangu x2 ( katika Bwana) Nafsi yangu, itajisifu, wanyenyekevu wasikie wafurahi, mtukuzeni Bwana, pamoja nami tuli-adhimishe jina lake pamoja) x2

1. Nalimfuata Bwana akanijibu, akaniponya na hofu zangu zote.

2. Wakamwelekea wakati wa nuru, wala nyuso zao hazitaona haya.

3. Maskini aliita Bwana akasikia, akamuokoa na taabu zake zote.

2 views0 comments

Comentários

Avaliado com 0 de 5 estrelas.
Ainda sem avaliações

Adicione uma avaliação
bottom of page