top of page

Nitakwenda Mimi Mwenyewe


Nitakwenda mimi mwenyewe, nikatoe sadaka kwa Bwana (Aliyeniumba mimi, aliyeniumba mimi, aliyeniumba mimi Mungu wangu, Mungu wangu, Mungu wangu Kwa kuniumba hadi nikapendeza) x2

  1. Kaniumba kwa mfano wake, kuliko viumbe vingine, na sasa nikatoe shukrani

  2. Vyote nilivyo navyo ni vyake, nimrudishie kwa mapendo, Na sasa nikatoe shukrani

  3. Mema mengi amenijalia, ya mbinguni na duniani, Na sasa nikatoe shukrani

  4. (Siku zote wanilinda vyema, wanitunza na kunijali, Na sasa nikatoe shukrani)

0 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page