top of page

Nitakushukuru Milele

Ee Bwana Mungu wangu nitakushukuru milele x2. Uligeuza kilio changu kuwa kicheko, nalikulilia ukaniponya (ulinivua gunia ukanivika furaha, ee Bwana Mungu wangu nitakushukuru milele x2.

  1. Mwimbieni Bwana zaburi, enyi wateule wake, na kufanya shukrani, kwa kumbuka la utakatifu wake.

  2. Maana ghadhabu zake Bwana, ni za kitambo kidogo, katika ardhi yake katika radhi yake.

  3. Umeniinua nafsi yangu, ee Bwana toka kuzimu, tene umenitoa, miongoni mwao washukao shimoni.

  4. Ee Bwana usikie unirehemu, uwe msaidizi wangu, ee Bwana Mungu mimi, nitakushukuru milele.

2 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page