top of page

Nitakuimbia Mungu Wangu

Nitakuimbia Mungu wangu kweli asubuhi


(Asubuhi mchana usiku nitakuimbia Mungu wangu kwa shangwe. Vinanda ngoma nitavipiga vigelegele shangwe makofi nitakusifu, milele yote) x2


Nitakushukuru Mungu wangu kweli asubuhi


Nitalitukuza jina lako kweli asubuhi


Nitazitangaza sifa zako kweli asubuhi


Nitakuhimidi Mungu wangu kweli asubuhi

16 views0 comments

ความคิดเห็น

ได้รับ 0 เต็ม 5 ดาว
ยังไม่มีการให้คะแนน

ให้คะแนน
bottom of page