top of page

Nitakuficha Nini?

Nita kuficha nini, (ewe) Mungu muumba wangu (Baba).Siri ya moyo wangu, wewe unaijua yote (Baba) (Nitembeapo hata nilalapo Baba unanijua, mawazo, yangu na matendo yangu yote unayajua x2)

  1. Ningali tumboni mwa mama yangu wewe ulinijua, (kwani mimi nikimbilie wapi ili niutoroke uso wako x2

  2. Mbingu hata nchi ni mali yako, wewe unatawala. (sasa mimi nikimbilie wapi ili niutoroke uso wako) x2

  3. Ninapo tembea ninapo lala wewe wanitazama, (mtu mimi sina pa kujificha palipa mbali nawe Mungu wangu x2

  4. Ewe Mungu Baba kwa pendo lako mimi ningali hai, (mimi nitajinyenyekea Baba mbele za uso wako – siku zote x2

3 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page