top of page

Nitajongea Meza Yako Bwana

Nitajongea meza yako Bwana,

Yesu Mwana wa Mungu, unishibishe x2


Wewe ni mkate wa uwinguni, unishibishe


Wewe ni maji ya uzima, niburudishe


Wewe mzabibu nami ni tawi, nisitawishe


Wewe msamaha kwa watu wote, nisaidie


Wewe ni njia ya uwinguni, uniongoze


Nazo furaha za uwingu ukinijaza


Niishi nawe Ee Yesu mwema, milele yote

10 views0 comments

Commentaires

Noté 0 étoile sur 5.
Pas encore de note

Ajouter une note
bottom of page