top of page

Nitajongea Meza Yako



Nitajongea meza yako, ee Bwana Nitajongea meza yako, ee Bwana, Bwana nipokee nakuja (Ninakuja kwako, ee Bwana (kweli) Nikakupokee, ee Bwana Kwani wewe ndiwe uzima) x2

  1. Chakula kina uzima, ee Bwana Huwashibisha wenye njaa, Bwana nipokee nakuja

  2. Kinywaji kina uzima, ee Bwaba Huwashibisha wenye kiu, Bwana nipokee nakuja

  3. Ni meza yenye mapendo, ee Bwana Yenye kuleta amani, ee Bwana, Bwana nipokee nakuja

2 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page