top of page

Nitajongea Meza

Nitajongea meza yako Bwana Yesu Mwana wa Mungu unishibishe x2.

  1. Wewe ni mkate, wa uwinguni unishibishe.

  2. Wewe ni maji, ni ya uzima, niburudishe.

  3. Wewe mzabibu, nami ni tawi, nisitawishe.

  4. Wewe msamaha, kwa watu wote nihurumie.

  5. Wewe msaada, wa wasafiri nisaidie.

  6. Wewe ni njia, ya uwinguni uniongoze.

  7. Nazo furaha, za uwinguni ukanijaze.

  8. Niishi nawe, ee Yesu wangu milele yote

2 views0 comments

Comentarios

Obtuvo 0 de 5 estrellas.
Aún no hay calificaciones

Agrega una calificación
bottom of page