top of page

Nitaipaza Sauti


  1. Ni nani anayestahili kupewa sifa ni mungu mwenye enzi yote ndiye muumba uabudiwe usifiwe wewe ni mfalme utukufu na heshima Bwana ni vyako mfalme (Asante mungu wangu mwema ninashukuru kwa kunilinda vyema ninashukuru) ×2 nitaipaza sauti Eeh nitangaze matendo yako Eeh wewe ni mwanzo na Mwisho ni wa milele

  2. Ni nani atupaye nguvu pia uzima ni mungu mwenye enzi yote ndiye muumba yeye ni Alfa na omega ni wa milele Utukufu na heshima Bwana ni vyako mfalme

  3. Wewe ndie mungu wa kweli mungu mwenyezi umeumba mbingu na nchi hufananishwi utabaki ni mwenye enzi utubariki Utukufu na heshima Bwana ni vyako mfalme

27 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page