top of page

Nitafurahi sana Katika Bwana


Nitafurahi sana katika Bwana, maana amenivika mavazi ya wokovu, amenifunika vazi la haki, kama bibi harusi ajipambavyo Kwa vyombo vya dhahabu, vyombo vya dhahabu.

  1. Nitafurahi katika Bwana / nafsi yangu itashangilia katika Mungu wangu.

  2. Maana amenivika mavazi ya wokovu / amenivika vazi la haki, kama bibi harusi ajipambavyo kwa vyombo vya dhahabu.

  3. Ee Binti sayuni furahi sana / umshangilie Mungu wako.

  4. Ee Binti tega sikio lako / mfalme autamani uzuri wako.

2 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page