top of page

Niseme nini Basi



Niseme nini basi juu ya mama yetu Maria (mama Bikira Maria) Mama mnyenyekevu mama mwenye neema x2

  1. Wakati wa majaribu mwombezi wetu ni Maria (mama yetu) wakati wa mashaka kimbilio letu ni mama (Maria)

  2. Mama uliyeumbwa pasipo dhambi yazsili (mama yetu) ukamzaa mwana mkombozi wa ulimwengu (Maria)

  3. Moyo wako heri, moyo safi moyo mweupe (mama yetu) nijalie neema nishinde majaribu yote (Maria)

  4. Mama wa mkombozi mnara wetu wa mbinguni(mama yetu) mwangaza wetu sisi tunasafiri gizani (Maria)

  5. Shika mkono wangu nionyeshe njia ya kweli (mama yetu) nifike kwa mwanao anapoketi uwinguni (Maria)

3 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page