top of page

Nipisheni Niijongee Meza

Nipisheni niende niijongee meza, walikoiandaa (karamu takatifu)kitakatifu, niacheni niende nishiriki karamu (aliyo )nialika Yesu (wangu) Mwokozi x2.

  1. Ni karamu ya kweli, chakula cha uzima,hebu nipisheni nipate kushiriki..

  2. Ni karamu ya kweli kinywaji cha uzima, hebu nipisheni nipate kushiriki.

  3. Bwana mlishi wangu ameniandalia, hebu nipisheni nipate kushiriki.

  4. Bwana mchunga wangu ataniburudisha, hebu nipisheni nipate kushiriki.

  5. Sababu ya uzima, nala Mwili na Damu, nipisheni nipate kushiriki.

  6. Ni mfano wa kweli wa karamu ya mbingu, nipisheni nipate kushiriki.

  7. Mimi ni mwenye njaa, naja nipate shibe, nipisheni nipate kushiriki.

  8. Karamu ya upendo ushirika wa mbingu, nipisheni nipate kushiriki.

0 views0 comments

Comentários

Avaliado com 0 de 5 estrelas.
Ainda sem avaliações

Adicione uma avaliação
bottom of page