top of page

Ninaungama Dhambi Zangu Zote

Ninaungama dhambi zangu zote, Mungu Baba mwenyezi kwani nimekosa x 2

1. Nanyi ndugu zangu ninaungama, niliwakosea.

2. Kwa mawazo yangu pia maneno, na matendo yangu.

3. Nimekosa mimi nimekosa mno, munihurumie

4. Ee Mama Bikira mwema, nanyi ndugu zangu.

5. Ee watakatifu wote wa Mungu, nanyi ndugu zangu.

6. Mukaniombee kwa Mungu wetu aliye mbinguni.

3 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page