top of page

Ninaungama Dhambi

Ninaungama dhambi zangu Mwokozi,

unisamehe sitarudi tena x2


Enyi ndugu zangu ninaungama dhambi,

mnisamehe sitarudia tena x2


Kwa mawazo yangu pia matendo yangu,

unisamehe sitarudia tena x2


Nimekosa mimi nimekosa, unisamehe

sitarudia tena x2


Mama Maria Bikira mwema sana,

utuombee kwake Mungu Baba x2


Watakatifu wote na malaika, mtuombee

kwake Mungu Baba x2

1 view0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page