top of page

Ninaungama

Ninaungama Dhambi zangu zote kwani nimekosa (Baba) nihurumie x 2

  1. Nimekosa kwa mawazo, kwa maneno na vitendo

  2. Kutotimiza wajibu kweli nimekosa, kweli nimekosa.

  3. Ninakuomba ee Bikira Maria ewe mwenye heri.

  4. Na malaika watakatifu nanyi ndugu niombeeni.

0 views0 comments

Kommentare

Mit 0 von 5 Sternen bewertet.
Noch keine Ratings

Rating hinzufügen
bottom of page