top of page

Ninakutamani



1. Ninakutamani Mwokozi wangu Bwana, kwa chakula hiki unishibishe Bwana x2


(Mwili wako Yesu) chakula cha roho zetu, (Damu yako Yesu) kinywaji cha roho zetu x2


2. Uwe mwamba wangu na nguvu yangu Bwana, kwa kinywaji hiki niimarishe Bwana x2


3. Umekuja kwangu nakushukuru Bwana, wewe ndiwe Mungu Mwokozi wangu Bwana x2


4. Uniponye Bwana nakuhitaji Bwana, ndiwe njia pekee maishani mwangu Bwana x2


5. Najitoa kwako ee Mungu wangu Bwana, nipokee Bwana nakutamani Bwana x2


6. Bila wewe Bwana mi nitashindwa Bwana, unishike mkono nisiangamie Bwana x2


7. Uniimarishe siku zote Bwana, ewe Bwana wangu na Mungu wangu Bwana x2


19 views0 comments

תגובות

דירוג של 0 מתוך 5 כוכבים
אין עדיין דירוגים

הוספת דירוג
bottom of page