top of page

Ninakulilia

Ninasikia kwamba wewe Yesu unaokowa wenye shida Bwana x 2

Wenye njaa unashibisha Yesu na wagonjwa unawaponya Bwana x 2


Ninakulilia, Yesu niokoe, ndiwe pekee Mwana wa Mungu; (ee Bwana) Yesu, ukiniokoa, nitakutukuza, nitakuimbia nyimbo tamu (ee Yesu) Bwana x2


Unaokowa kina mama Yesu, wazee na hata vijana Bwana x2

Na wanyonge unawakweza Yesu, vipofu sasa wanaona Bwana x 2


Unaokowa na walevi Yesu, wakora na wavuta bangi Bwana x2

Unaokowa wenye shidai Yesu, wenye kiburi na tamaa Bwana x2

0 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page