top of page

Nimtume Nani

Nimtume nani unitume mimi nitume Bwana

Nita – nitakwenda kutangaza neno hili lako Bwana

Mataifa ya dunia yakufuate wewe unitume mimi nitume Bwana

  1. Bwana asema, Nimtume nani aende kuwahubiria mataifa?

  2. Bwana amenituma kuihubiri, habari njema kwa watu;

  3. Roho wa Bwana yu juu yangu

  4. Kwa maana amenitia mafuta kuwahubiria maskini habari njema

  5. Bwana ndiye kiongozi wangu anisaidie kuchunga neno lake


Nimtume nani- unitume mimi, nitume Bwana x2 Nitakwenda kutangaza neno lako Bwana, mataifa ya dunia yakufuate wewe Unitume mimi nitume Bwana

  1. Mkingali tumboni mwa mama zenu naliwatakasa, nalikuita ili uwe mtume wangu.

  2. Mtakwenda kutangaza neno langu, msiogope kwa ajili ya hao.

  3. Mimi katika mashaka na shida zao zote, mimi nitawafundisha mtakayosema


ALTERNATIVE STANZAS

  1. Bwana asema, nimtume nani, aende kuwahubiria mataifa?

  2. Bwana amenituma kuihubiri, habari njema kwa watu, Roho wa Bwana yu juu yangu

  3. Kwa maana amenitia mafuta, kuwahubiria maskini habari njema

  4. Bwana ndiye kiongozi wangu, anisaidie kuchunga neno lake


4 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page