top of page

Nimtume nani?

Nimtume nani?

Wote: Unitume mimi nitume Bwana x 2

Nitakwenda kutangaza neno lako wewe mataifa yasikie yakufuate

Wewe (unitume mimi nitume Bwana) x 2

  1. Ungali tumboni mwa mama yako nalikuchagua, nalikuita ili uwe mtume wangu

  2. Utakwenda kutangaza neno langu, usiogope kwa ajili ya hao.

  3. Bwana asema nimtume nani, aende kuwahubiria mataifa.

  4. Mimi nitatangaza neno lake Bwana, ili mataifa ya ulimwengu yapate neno hili.

2 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page