top of page

Nimewalisha kwa Unono wa Ngano


Nimewalisha kwa unono wa ngano, Na kuwashibisha asali (asali) Nimewalisha kwa unono wa ngano, Na kuwashibisha asali itokayo mwambani

  1. Nimewalisha kwa kiini cha ngano Na kuwashibisha asali itokayo mwambani

  2. Katika shida waliniita, waliniita Katika shida nami nikawaokoa

3 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page