top of page

Nimevipiga Vita


Nimevipiga vita, nimevipiga vita vilivyo vizuri x2

(mwendo) mwendo nimeumaliza imani nimeilinda ,mwendo nimeumaliza imani nimeilinda x2

  1. Baada ya hayo nimewekewa taji, nimewekewa taji ,taji ya haki.

  2. Sasa namiminwa ,nao wakati wangu , wakufariki kwangu ,nao umefika

  3. Ataniokoa ,na kila neno baya , hata niyafikie ufalme wa mbinguni

  4. Nami nitaishi , kwa Baba milele nikimtumikia Mungu aleluya.

27 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page