top of page

Nimepiga Vita


Nimepiga vita, vilivyo vyema, Vita vya roho na mwendo nimeumaliza x2 Sasa nangojea kupewa taji ya washindi (Na) sio mimi peke yangu x2 pamoja na wateule waloshinda vita

  1. Ninakuagiza mbele ya Mungu na mbele ya Kristu Ukalihubiri Neno uwe tayari siku zote ukaripie unene kwa uvumilivu

  2. Nao watajiepusha wasisikie yalo kweli, mimi nimevumilia hadi ninaoga mikono bali wewe uwe na ukamilifu katika mambo yako

  3. Uvumilie mabaya fanya kazi ya kuhubiri, uihubiri injili uitimize huduma yako, sasa wakati wa kufa kwangu umefika

7 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page