top of page

Nimepewa Mamlaka

Nimepewa mamlaka x2 Mbinguni na duniani Nimepewa mamlaka yote x2


Basi enendeni mkayafanye mataifa yote kuwa wanafunzi wangu x2

Mkiwabatiza kwa Jina la Baba na la Mwana na Roho Mtakatifu na kuwafundisha yote niliyowaamuru


Na tazama mimi niko pamoja nanyi siku zote niko pamoja nanyi siku zote mpaka ukamilifu ukamilifu wa dahari

55 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page