top of page

Nimeona Maji



Nimeona maji Yakitoka hekaluni upande wa kuume, aleluya Na watu wote waliofikiwa, na maji hayo wakaokoka Nao wakasema, aleluya, aleluya

  1. Mshukuruni Bwana kwa kuwa ni mwema Kwa maana fadhili zake ni za milele

  2. Atukuzwe Baba na mwana na Roho Mtakatifu

  3. Kama mwanzo na sasa na siku zote amina

2 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page