top of page

Nimeingia Nyumbani Mwa Bwana



Nimeingia nyumbani nyumbani mwa Bwana nimshangilie nimwabudu yeye x2

1. Miguu yangu imekwisha simama.. nimshangilie nimwabudu yeye x2

2. Katika malango matakatifu…

3. Hakika Bwana ametamalaki…

4. Atukuzwe Baba Mwana na Roho…


208 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page