top of page

Nimefurahiwa

Nimefurahiwa kwa sababu tutakwenda nyumbani mwa Bwana) x 2 ni Bwana wa mabwana ( na) tumwabudu Ni mfalme wa wafalme na tumwabudu.

1. Nyumba ya Bwana ni takatifu, makao yake ni utukufu wake.

2. Yeye aliyeumba mbingu na dunia, watu wanyama na vyote vilivyomo.

3. Yeye atugawiaye uzima wetu, kila kiumbe hukipa riziki yake.

4. Daima tutaziimba sifa za Bwana, na kulitukuza jina lake takatifu.

5. Mbele za mataifa tutamsifu Bwana, na makabila yote yatamsifu yeye.

6. Nyumbani mwa Bwana tutapata faraja, na hekaluni mwake tutamsujudia

0 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page