top of page

Nikupe Nini Chakupendeza

{(Nikupe nini Mungu wangu) - Nikupe nini Mungu

wangu cha kukupenda x2}. (SOP:- Chakukupenda x4) (ALT: Chakupendeza x2). Chaku, kupendeza, kupendeza ) (BASS:- Chaku kupendeza x2. Chaku kupendeza, kupendeza) ALL:- Kupendeza siku hii ya leo.) x2.

  1. Ninacho kidogo chakukupendezea ewe Mungu wangu, nilicho andaa siku hii ya leo, ndicho hiki Bwana.

  2. Sadaka ya leo, ni sadaka safi isiyo na doa, twakuomba Bwana twakuomba Bwana upendezwe nayo.

  3. Twatoa mkate twatoa divai, upokee Bwana, fedha nazo Bwana tunakutolea, upokee Bwana.

1 view0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page