top of page

Nikulipe Nini


  1. Nikulipe nini ewe Mungu Baba wa Mbinguni Kwani mtu mimi sina kitu cha kujivunia

  2. Nikufananishe na nini humu ulimwenguni Uliumba vyote bahari mito hata milima

  3. Ningekuwa ndege hakika ningeruka angani Ningekuwa nyota ningemulika dunia yote

  4. Nitakutendea nini ili nikufurahishe, Nitakuimbia wimbo gani Baba nikusifu

  5. Unitume Baba popote nipeleke ujumbe Nitalihubiri Jina lako daima milele

2 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page