top of page

Nikaona Mbingu Mpya

Kisha nikaona mbingu mpya na nchi mpya x2. Nikauona mji (mji ule) ule mtakatifu (mtakatifu) Yerusalemu mpya ukishuka toka mbinguni x2.

  1. Kwa maana mbingu za kwanza na nchi za kwanza zimekwisha kupita wala hapana bahari tena

  2. Nikasikia sauti kubwa ikitoka kwenye kiti cha enzi tazama maskani yake Mungu

  3. Naye Mungu mwenyewe atakuwa pamoja nao naye atayafuta machozi katika macho yao

  4. Mauti maombolezo kilio maumivu hayata kuwapo, tazama yote yamekuwa mapya.

1 view0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page